Gaza Mvua

IQNA

IQNA – Maafisa wanasema dhoruba imezamisha mahema 70,000 Gaza, na upungufu wa vifaa umewaacha waokoaji wakihangaika kuzisaidia familia zilizofurushwa makwao huku utawala dhalimu wa Israel ukiendeleza mauaji ya kimbari na mzingiro katika eneo hilo.
Habari ID: 3483013   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/08